Jeremiah 49:29


29 aHema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa;
vibanda vyao vitatwaliwa
pamoja na mali zao zote na ngamia zao.
Watu watawapigia kelele,
‘Hofu kuu iko kila upande!’

Copyright information for SwhKC